NdiwoooSasa mm ninacho cha kukupa jamani
Kwa matunda usiseme mpaka rahaKabisaa sema moro kuna matundaa balaaaaaa
hao watiwe nazi ndo utawapenda, ila hivihivi mmmmh lazima uwai kunawaNa wale nguru jaman khaaa wana chumviii
Atakuwa busy pm hukooAlikuwepo hapana ghafla tu kapotea
Yaani acha damu ya baba[emoji16][emoji16][emoji16]Waoooh baba wana damu kaliiii
Nilimuomba Demiss aniombee vumbi la Congo kwa Mshana sasa nahisi ndio itakua zawadi kwa hiliKwahiyo kuna zawadi unapewa au
Sema kweli ni nini niko ninacho chakukupaNdiwooo
hahahahaMweeeh mweeeh
UnachekaHahahahah
Akawajibu huyo ni pasua kichwaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mambo mengine kupelekwa pelekwa no[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], wengine waliamua kumuuliza dada yangu mdogo wako vipi.[emoji44] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ameshajibu utakutana naloAkijib unitag
makonda wanazingua...wanaacha kufanya kazi za maendeleo wanatusumbua ..ngojea 26042018 tutaelewana pale ilala bomaNimekuwa mwanaume wa dar nipelekwe kwa makondaaaa
We ni mwanaume wa pwanihao watiwe nazi ndo utawapenda, ila hivihivi mmmmh lazima uwai kunawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] busy na naniliuAtakuwa busy pm hukoo
Ukiwakaanga ni kutafuna tafuna tuNyam nyammm
Utagundua tu ata bila mimi kukuambia wewe tuendelee tuHahaha
Unataka nigundue nini lakini
Vumbi la congo ukatumie na nani tenaNilimuomba Demiss aniombee vumbi la Congo kwa Mshana sasa nahisi ndio itakua zawadi kwa hili