Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Nipo kabisa. Nimeshajihakikishia kabisa kukimbiwa na wewe. Au ndio mimi nilikuibukia Moro? Hahahahahaaa
Labdaaa ndugu yanguu hebu kumbukaaa vizuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe kaka yangu siwezi kabisaaaa
 
Hii thread nitashangaa mume wa mama p mzee wa mita 200 sumbai kama hayupo sumbai
@shunie kuna scenerio ngoja nianze kuzishusha kama ifuatavyo.

1. Kunakipindi tulikuwa tunasoma secondary. Sasa kuna jamaa yangu alikuwa na msichana wake shule fulani ya wasichana. Sasa sijui ilikuwaje kuna binti mwingine akaiiba namba ya jamaa yangu wakaanza kuchart nae. Kipindi kile hamna wasap hatumjui binti but alikuwa ana upendo saana katika zile chatting. Sasa siku ya graduu unajua mambo ya boys lazima wadada waje. Sasa walipokuja na yule dada akaja. Akawa amemletea rafiki yangu zawadi. Sasa ile coaster yao imeshuka tukawa tunachart nae kumuelekeza tulipo. Jamaa alipomuona bint kwa mbali ni mweusi na kwa mujibu wake anasema ni 'mbovu' jamaa akaacha simu akasepa. Ikabidi mimi niact kamaa ndio jamaa nkapokea zawad mule kulikuwa na singlend boxer na pafyuum. Kumbe msichana mwenyewe alikua hamjui jamaa alikuwa anahadithiwa tuu.
After there jamaa akadelete namba. Yule bint ikabidi nije nimueleze ukweli mimi sio huyo fulan. Baada ya kumaliza shule.



Yapili ilikuwa tena chuo, roommate alipata binti wa mbulu, katika chats na kuongea bint anasaut nzuri saana very romantic. Alikuwa nesi huko manyara. Sasa siku kapanda gari from arusha paka dar. Jamaa akasema twende tukampokeee ubungo tukamwambia hapana ashukie ubungo maji. Tumefika tukawa tumekaa pembeni. Bint alituelekeza amevaa nguo za rangi gani. Ile alivyoshuka tuu na mizigo yake jamaa kumuona kwa mbali akazima simu. Bint alikua anakitambi, flat yani sio mzuri.

Tukawa tunamwangalia jinsi anavyohangaika kupiga simu. Jamaa akasema tusepe. Bint alitukana saana dah


Yatatu,miaka kadhaa mingi nlijilipua kwenda mkoa fulani wa kaskazini. Kumfata my mama p. Sasa kwanza nlikuwa naogopa kuibiwa au kutapeliwa. Nlikuwaa nimejipanga kama nkikutana na kitu kibovu nalala zangu kesho nageuza.

Sasa stand nlifika usiku, nlimdanganya nimevaaa nini ili nkifika asinijue nianze kumjua yeye nimkague kwanza.


Kumbe nayeye ni janja mtoto wa mjini. Kanidanganya yupoje. Palikuwa patamu. Mimi nimejificha nakaa natafuta mtu. Kumbe nayeye kajificha kakaa anangalia mtu. Karibu dakika 40 tunasumbuana. Dah....

The rest is..... Thanks God paka leo
 
Muosha naniliu we hujamkimbia huyo ulimkula kabisa ni huyo chura wake ndio alikuchanganya
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…