Na Bora hata umenidhamini na ten..je kama Sina kabisa SI ndio nitaishia kumnusa perfume TU.demis usimchukulie mtoto poah umesahau Ni wa level za ma braza mshana..me nitawezea wapi zaidi ya kuendelea Kum taman akiwa ndani ya nguo?labda Kama huwa ana program za kututunuku free mahandsome Boy