Wadau hebu tusaidiane kumtambua huyu kambi katoto ni nani hasaa
Wasifu:
1. Kambi katoto ni kijana mdogo sana.
2. Kambi katoto hana miguu lakini anasimama.
3. Kambi katoto hana mikono lakini anachapa mtu mpaka analia.
4. Kambi katoto hali lakini anacheua.
5. Kambi katoto ana jicho moja lakini anaona kwenye giza kuliko mwenye macho mawili.
6. Kambi katoto anaishi gizani kwenye nchi yenye majani makavu meusi jirani na milima mikubwa miwili.
Je kambi katoto ni nani?