Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Mimi nafikiri ni kwa sababu ya kuendana na hali yetu ya maisha ili wengi waweze kununua lakini zipo aina nyngine zipo zaidi ya hapo na bei tofauti.
 
Ata mim napenda kavu ila uwa napitiliza adi tatu mzuka naerekea kweye biko
 
Ha ha ha. Missing you too mdogo wake sandarus,mie nipo mbona jamani...hadithi kama ya mkufu lini jamani shunie?
Ndio mana nakwambia nimekumiss mm kuna story zinaendelea kule jamani ukuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…