Swali: Kati ya walevi wa pombe na walevi wa sex (ngono) wepi ni wengi zaidi Duniani?

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Ni mjadala mdogo tu kwamba kila mtu huwa ana ulevi wake sasa hebu tuambiane kati ya walevi wa Pombe ( wazee wa tungi) na walevi wa sex ( wazee wa migegedano) wepi ni wengi zaidi duniani au ndio kwamba vinaenda pamoja kama rasta na msokoto?
 
Ulevi wa pombe ni subset ya ulevi wa ngono, hakuna mlevi asiyeendekeza ngono nasema hayupo...

Tena mtu akilewa yule mwanamke ambaye hawezi kumtaka akiwa na akili timamu atapita naye tu.
 
Unakuta ukiamka lodge asubuhi unajiuliza umeshawishika vipi? Goma halina mvuto kabisa hata kutoka nalo kupita reception inakushinda, unalitanguliza mbele kama mgambo [emoji3]
 
Aisee!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom