Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Tanganyika ni koloni la Zanzibar nowHakuna muungano tena zaidi ya jina.. Zanzibar imebaki na jina na mamlaka yake kamili.. Tanganyika haijulikani iko wapi wala mamlaka yake ni ipi
Soma huu uziTangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?
Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?
Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni
Acha kunilisha manenoSoma huu uzi
Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?
Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali. Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga 1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote 2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote 3. Bodi ya mkopo yao yao...www.jamiiforums.com
Hujasikia kwasababu husikii. Ulizia ya OMO na Jussa. Pia pitia mabandiko humu JF. Ni kweli kuna watu wana macho lkn hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Lakini nikuulize si hivi punde tulikuwa tunajadili Mimi na wewe kuhusu hilo? Inaelekea sasa umekosa la kufanya.Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?
Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?
Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni