Swali; kitendo cha itv kurusha picha za watu walionasa kwenye gari ni halali kisheria?

Swali; kitendo cha itv kurusha picha za watu walionasa kwenye gari ni halali kisheria?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
639
Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.
 
Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.

Kabla hatujakujibu, tukuulize, je ilikua haki kwa wale wahanga wa Meli ya Mv Bukoba na Sphaghet ya zanzibar kuonyeshwa kwenye tv?
 
Unaelewa maana ya ITV? Independent television NA IMEPATA TUZO YA SUPERBRAND TV,haizuiliwi na mtu yeyote kweli uhai wa watu ndo wakupuza kiasi kile watu wanakaa masaa 18 hawajaokolewa angekuwa Mwingulu nchemba kabanwa vle wangemwacha ksa vifaa vya uokoz hamna!HUU N UBAGUZ BIG UP ITV KUFICHUA UOVU.
 
kabla hatujakujibu, tukuulize, je ilikua haki kwa wale wahanga wa meli ya mv bukoba na sphaghet ya zanzibar kuonyeshwa kwenye tv?

you are such a damn fool.kazi ya jukwaa hili ni kuzia illegal acts sio kufanya siasa kama unazotaka kufanya
 
you are such a damn fool.kazi ya jukwaa hili ni kuzia illegal acts sio kufanya siasa kama unazotaka kufanya
sina shaka kuwa hadhira inamfahamu ANAYESTAHILI kuitwa a 'DAMN FOOL' kati ya ndugu hao wawili!!!
 
Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.
Hawa itv wanadhani kuonyesha picha za wafu na waliokata roho kwa ajali kwenye tv ndio weledi. Sijui wapiga picha wao wanajifunzia wapi? Tena hua hata hawatoi tahadhari kwa watazamaji. Kitendo hicho kinadhalilisha waliopata janga na ndugu zao.
 
hakuna defamation ya namna hii,umesoma open nin? POINT.WANATAKIWA KTOA TAHADHARI kuepusha nervous shock kwa watazamaji! Wasipofanya hvo u sue them for NEGLIGENCE! Shwain.
 
[h=4]Can a dead person be defamed?[/h]No. But coverage about the wrongdoing of a dead person that reflects badly on friends or associates who are still alive may defame them.

[h=4]Can corporations sue?[/h]Companies and other corporate bodies can sue for defamation, but only if they can show that it has caused them (or is likely to cause them) financial loss
 
Ukiondoa mambo ya kisheria, ingekuwa busara kama wasingeonyesha. Si lazima ubanwe na sheria ndio akili ifanye kazi
 
hakuna defamation ya namna hii,umesoma open nin? POINT.WANATAKIWA KTOA TAHADHARI kuepusha nervous shock kwa watazamaji! Wasipofanya hvo u sue them for NEGLIGENCE! Shwain.
Hua hawatoi tahadhari ndio maana watu wanacomplain shwain
 
anaestahili lawama ni serikali baada ya kuona walipa kodi na watu wake wanakaa kwenue vyuma masaa 18 bika msaada. Mleta mada anataka kupotosha ukweli kwasababu zake nadhani hasa ni za kisiasa.
 
Lengo la ITV lilikuwa zuri.Hapa unataka kuzungumzia sheria ipi?au unataka kusema wamekiuka haki za binadamu? au wahusika walikuwa uchi? ITV walikuwa wanataka msaada upatikane haraka.
 
Lengo la ITV lilikuwa zuri.Hapa unataka kuzungumzia sheria ipi?au unataka kusema wamekiuka haki za binadamu? au wahusika walikuwa uchi? ITV walikuwa wanataka msaada upatikane haraka.

Ndugu ukicheki CNN,BBC or whatevr wanasemaga hivi the following footage contains some disturbing images viewers discretion is adviced so basically unajua nin kinafuta uchange channel au nin..lakini ITV..daah sio ITV tu hata social medias kibao wanapost tu images ambazo daaahh they are very disturbing kwa kweli...over..!!!?
 
ITV wanatakiwa kuwatahadharisha watazamaji kwanza,vinginevyo wanaweza kuua mtu kwa mshtuko ! neighbour principle has to be applied!
 
je swali limejibiwa?...je sahihi kisheria?..na kama si sahihi kuonyeshwa hzo picha kisheria nini kifanywe ili jambo kama hilo lisijirudie?...
 
Back
Top Bottom