Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 639
Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.
kabla hatujakujibu, tukuulize, je ilikua haki kwa wale wahanga wa meli ya mv bukoba na sphaghet ya zanzibar kuonyeshwa kwenye tv?
sina shaka kuwa hadhira inamfahamu ANAYESTAHILI kuitwa a 'DAMN FOOL' kati ya ndugu hao wawili!!!you are such a damn fool.kazi ya jukwaa hili ni kuzia illegal acts sio kufanya siasa kama unazotaka kufanya
you are such a damn fool.kazi ya jukwaa hili ni kuzia illegal acts sio kufanya siasa kama unazotaka kufanya
Hawa itv wanadhani kuonyesha picha za wafu na waliokata roho kwa ajali kwenye tv ndio weledi. Sijui wapiga picha wao wanajifunzia wapi? Tena hua hata hawatoi tahadhari kwa watazamaji. Kitendo hicho kinadhalilisha waliopata janga na ndugu zao.Naomba msaada wenu kama kitendo hiki hakiwezi kuibua a cause of action in tort au la.
Hawa itv wanadhani kuonyesha picha za wafu na waliokata roho kwa ajali kwenye tv ndio weledi. Sijui wapiga picha wao wanajifunzia wapi? Tena hua hata hawatoi tahadhari kwa watazamaji. Kitendo hicho kinadhalilisha waliopata janga na ndugu zao.
Hua hawatoi tahadhari ndio maana watu wanacomplain shwainhakuna defamation ya namna hii,umesoma open nin? POINT.WANATAKIWA KTOA TAHADHARI kuepusha nervous shock kwa watazamaji! Wasipofanya hvo u sue them for NEGLIGENCE! Shwain.
Lengo la ITV lilikuwa zuri.Hapa unataka kuzungumzia sheria ipi?au unataka kusema wamekiuka haki za binadamu? au wahusika walikuwa uchi? ITV walikuwa wanataka msaada upatikane haraka.
Matusi ni ishara ya kuishiwa hojayou are such a damn fool.kazi ya jukwaa hili ni kuzia illegal acts sio kufanya siasa kama unazotaka kufanya