Swali kuhusu ARVs

Swali kuhusu ARVs

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? Kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa alipohisi kuambukizwa? Na Pia atazipata wapi? Pharmacy au Zahanati?
 
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa alipohisi kuambukizwa? Na Pia atazipata wapi? Pharmacy au Zahanati?

Ni kweli ARVs zikitumiwa kwa wakati sahihi humsaidia mtu kuishi muda mrefu........na huwezi kuzinunua popote......ni lazima upimwe......ujulikane upo stage gani ya ugonjwa.......ndio upewe dawa kutokana na level yako........
Wahi hospital mapema ili uweze kunata na beat..........the earlier the better........na hata ukikutwa na maambukizi........jaribu kutumia kinga ili kuepuka maambukizi mapya.........

Dr Preta........
 
Yap ...hiyo unaongelea PEP(post exposure prophylaxis).. Ni short course ya ARVs kwa muda wa mwezi mmoja inafanya kazi ndani ya masaa 72(siku tatu) baada ya potential exposure baada ya hapo uwezo wa kuzuia maambukizi ni mdogo sana
 
Ha ha ha acha kujistukia wewe HIV /AiDs ni ugonjwa wa kusadikika

Kaa kwa amani, hakuna HIV /AiDs Duniani
 
kwamba uncle zangu wawili walikufa kwa ugonjwa wa kusadikika na binamu yangu ana huo ugonjwa kweli sielewei vizuri.
 
Yap ...hiyo unaongelea PEP(post exposure prophylaxis).. Ni short course ya ARVs kwa muda wa mwezi mmoja inafanya kazi ndani ya masaa 72(siku tatu) baada ya potential exposure baada ya hapo uwezo wa kuzuia maambukizi ni mdogo sana

Well said Mkuu na wenzetu wameanza pia Pre Exposure Prophylaxix..... Yaani ukijua unakwenda kukutana na mwenye maambukizi au huenda akawa na maambukizi..... Kwetu hii ni resource wastage as hatuna dawa nyingi kiasi hiki
 
Ni kweli ARVs zikitumiwa kwa wakati sahihi humsaidia mtu kuishi muda mrefu........na huwezi kuzinunua popote......ni lazima upimwe......ujulikane upo stage gani ya ugonjwa.......ndio upewe dawa kutokana na level yako........
Wahi hospital mapema ili uweze kunata na beat..........the earlier the better........na hata ukikutwa na maambukizi........jaribu kutumia kinga ili kuepuka maambukizi mapya.........

Dr Preta........
Hakyamama huyu aliyekuapisha kiapo cha udaktari namvulia kofia...

Well said Mkuu na wenzetu wameanza pia Pre Exposure Prophylaxix..... Yaani ukijua unakwenda kukutana na mwenye maambukizi au huenda akawa na maambukizi..... Kwetu hii ni resource wastage as hatuna dawa nyingi kiasi hiki
Well well well........ PEP ikirasimishwa huku kwetu... na ARVs zikawa zinapatikana kirahisi kama kondom.... Hakyamama soko la kondom ndo litakuwa limekufa rasmi, mimba zisizotarajiwa hazitahesabika na kibaya zaidi STDs (zile nyingine zile) zitakuwa zimefika soko la mnada...:doh::doh::doh:
 
Well said Mkuu na wenzetu wameanza pia Pre Exposure Prophylaxix..... Yaani ukijua unakwenda kukutana na mwenye maambukizi au huenda akawa na maambukizi..... Kwetu hii ni resource wastage as hatuna dawa nyingi kiasi hiki

ARV as prophylaxis ...haikuondolei uwezekano wa kuambukizwa bali inasogeza mbele siku za kuanza kuonesha dalili...QUOTING PROF MUGUSI kama nilimuelewa vizuri!!!!!...Im just complicating our understanding!!
 
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa alipohisi kuambukizwa? Na Pia atazipata wapi? Pharmacy au Zahanati?

hazi wezi tumika kama kinga bali zinaweza tumika.kama therapy...(tiba) kwani ukiangalia PEP ni miezi 3...!! na haitolewi ovyo bali hutolewa kwa case maalum.nyngi zao zikiwa laboratory accidental kama health personal atakuwa ame ji prick bahati.mbaya au namna yoyote ile inayo weza msababishia maambukizi..!!!!

nikirudi kwenye swali lako huwezi pewa PEP bila kuwa aliye kuambukiza amepimwa nakujulikana ni known case with HİV +ve ....na Arvs azitolewi bila mtu kuwa ame andikishwa CTC . muda wakutumia PEP hautakiwi uzidi masaa 72 ya tukio. dose ni miezi 3 wameza kila siku mfululizo ikitegemeana na aina ya Arvs (zidovudine,lamivudine..Abacavir)

NOTE: ili kuweza kupewa PEP lazima uwe na sababu ya msingi sana kama kubakwa au ajali ...usitarajie kufanya ngono zembe nakwenda hospital kupewa PEP..!!!
 
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa alipohisi kuambukizwa? Na Pia atazipata wapi? Pharmacy au Zahanati?

Pole sana kwa Kuathirika! ndugu
 
Pole sana kwa Kuathirika! ndugu
Hivi kumbe ukiuliza swali kuhusu HIV/AIDS au tiba zake ni sawa na kujitambulisha kuwa umeathirika? Kweli JF kuna mambo. Don't depend on assumptions, depend on facts.
 
Back
Top Bottom