Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa alipohisi kuambukizwa? Na Pia atazipata wapi? Pharmacy au Zahanati?

kwamba uncle zangu wawili walikufa kwa ugonjwa wa kusadikika na binamu yangu ana huo ugonjwa kweli sielewei vizuri.Ha ha ha acha kujistukia wewe HIV /AiDs ni ugonjwa wa kusadikika
Kaa kwa amani, hakuna HIV /AiDs Duniani
Ha ha ha acha kujistukia wewe HIV /AiDs ni ugonjwa wa kusadikika
Kaa kwa amani, hakuna HIV /AiDs Duniani
Yap ...hiyo unaongelea PEP(post exposure prophylaxis).. Ni short course ya ARVs kwa muda wa mwezi mmoja inafanya kazi ndani ya masaa 72(siku tatu) baada ya potential exposure baada ya hapo uwezo wa kuzuia maambukizi ni mdogo sana
Hakyamama huyu aliyekuapisha kiapo cha udaktari namvulia kofia...Ni kweli ARVs zikitumiwa kwa wakati sahihi humsaidia mtu kuishi muda mrefu........na huwezi kuzinunua popote......ni lazima upimwe......ujulikane upo stage gani ya ugonjwa.......ndio upewe dawa kutokana na level yako........
Wahi hospital mapema ili uweze kunata na beat..........the earlier the better........na hata ukikutwa na maambukizi........jaribu kutumia kinga ili kuepuka maambukizi mapya.........
Dr Preta........
Well well well........ PEP ikirasimishwa huku kwetu... na ARVs zikawa zinapatikana kirahisi kama kondom.... Hakyamama soko la kondom ndo litakuwa limekufa rasmi, mimba zisizotarajiwa hazitahesabika na kibaya zaidi STDs (zile nyingine zile) zitakuwa zimefika soko la mnada...:doh::doh::doh:Well said Mkuu na wenzetu wameanza pia Pre Exposure Prophylaxix..... Yaani ukijua unakwenda kukutana na mwenye maambukizi au huenda akawa na maambukizi..... Kwetu hii ni resource wastage as hatuna dawa nyingi kiasi hiki
Hakyamama huyu aliyekuapisha kiapo cha udaktari namvulia kofia...
Well said Mkuu na wenzetu wameanza pia Pre Exposure Prophylaxix..... Yaani ukijua unakwenda kukutana na mwenye maambukizi au huenda akawa na maambukizi..... Kwetu hii ni resource wastage as hatuna dawa nyingi kiasi hiki