Swali kuhusu Hisa

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
Wakuu ni hv mfano una biashara yako ya kawaida na ungependa kuuza hisa je? Nitaratibu kazi za kisheria ambazo unatakiwa kupitia ili kupata hivyo vipande vya hisa?Natanguliza shukrani
 
Leo nimefurahi, unataka kuuza hisa? vipi utauzaje ,unauhakika wa kurudisha hela ya watu na ongezeko lake? au unataka kununua hisa benk? hisa ni uwekezaji yaani mf. unaenda nmb unanunua hisa vipande 1000 kila kipande tuseme tsh10 000 = 10 000 000, hii hela unawapa unakua moja ya mtaji wao, baada ya mda kuisha wanachukua mtaji wanaangalia faida wanaangalia vipande vilivyo nunuliwa wanagawa faida unapata chako faida na mtaji ambao ndo ulinunulia vipande. omba mungu isipate hasara itafiako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…