Andyhophen Member Joined Jun 7, 2011 Posts 29 Reaction score 3 Mar 7, 2014 #1 Hivi Katiba Ya Sasa walikaa watu wangapi tumetumia miaka 50?
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,463 Reaction score 2,342 Mar 7, 2014 #2 Nyerere pekee kipindi kile chama kimeshika hatamu ndio mpaka leo wadanganyika hawawezi kufikiri mawazo yao yamefungwa na mfu nyerere.
Nyerere pekee kipindi kile chama kimeshika hatamu ndio mpaka leo wadanganyika hawawezi kufikiri mawazo yao yamefungwa na mfu nyerere.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Mar 7, 2014 #3 Mimi nadhani waliitwa tu baadhi ya wataalam wa sheria wakaketishwa ofisi ya mkuu wa kaya wa kipindi hicho na kuamuriwa waandike kitu kinaitwa katiba. Ni maoni yangu tu, sijui zaidi ya hapo.
Mimi nadhani waliitwa tu baadhi ya wataalam wa sheria wakaketishwa ofisi ya mkuu wa kaya wa kipindi hicho na kuamuriwa waandike kitu kinaitwa katiba. Ni maoni yangu tu, sijui zaidi ya hapo.