Swali kuhusu Loan board OLAS 2013-14 kwa diploma applicants

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Wadau nisaidieni, Sisi wenye diploma za vyuo chini ya nacte majibu yalichelewa ndio kwanza tumeweza kuapply TCU sasa. Je tutawezaje kuapply loan board wakati Link ya OLAS IMEFUNGWA? naomba nisadieni mwenzenu, hhali si nzuri
 
Pole sana me navyojua hao jamaa waliongeza mda wa kutuma maombi na wakasisitiza hawataongeza mda me nakushauri utafute wadhamini tu maana HESLB hawawezi pokea tena maombi.
 
Andaa pesa tu dada we. Jiandae kuomba mwaka wa pili
 
Wadau nisaidieni, Sisi wenye diploma za vyuo chini ya nacte majibu yalichelewa ndio kwanza tumeweza kuapply TCU sasa. Je tutawezaje kuapply loan board wakati Link ya OLAS IMEFUNGWA? naomba nisadieni mwenzenu, hhali si nzuri

kwa ushaur kama upo dar nenda ofisin kwao ukawaelezee coz hak unayo ya kusikilizwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…