Kufanya mapenzi nje ya ndoa sio kosa la jinai kisheria au kifanya mapenzi na mtu yoyote ambaye ni over 14 sio kosa kisheris hivyo fumanizi sio kosa.
Ni over 18 kwa sheria ya Pena Code, SOSPA na Child Act 2009, Najua hii over 14 unayozungumzia ni exception to the general rule ya LMA (marriage at 12 or 15 under parental au court consent- pressumably watakuwa na canal knowledge), again kumekuwa na conflict of laws nyingi ambazo zimekuwa harmonized na child Act 2009, but court ndio itaamua
Ukirudi kwenye hoja inategemea na mfumaniaji, kama ni marafiki tu (under sexual relationship) na ni over 18 maana yake hakuna mgogoro hapo, but kama ni wachumba na ameshalipiwa mahari under customary law hapo kuna mgogoro, kama ni mwenza (mke au mume) kuna mgogoro pia, mahali penye mgogoro reaction ya wafumanizi inatakiwa iwe provoked yaani kitendo atakachofanya kiwe out of his control, kwenye utetezi itakua temprary insane kwa wakati aliofanya hicho kitendo...I.e k kama kulikuwa na silaha na akaichukuhapo hapo na kuitumia maana yake hakuwa na room ya kureason kwamba atakachokwenda kufanya kina kegal consequences, lakini akienda say jikoni (kama fumanizi ni chumbani) na kuchukua silaha hapo hakuna utetezi maana yake alijua anakwnemda kufanya kosa...........is a bit trick mkuu ,...but interpretation ya mahakama ndio ya mwisho...kama utaua under provocation haitakuwa murder (kuua kwa kusudia) bali manslaughter -from death penalty to life sentense