Swali kuhusu maharage ya soya ya njano

babuumzuri

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
14
Reaction score
7
Habari,

Ikiwa nimepanda maharage ya soya ya njano kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2, yakaota vizuri na kuzaa vizuri, je kuna uwezekano wa kuvuna gunia ngapi?
 
Mkuu formula ni debe moja kwa debe kumi kwa uangalizi wa hali ya juu.Wengi hupata debe tano+ kwa kilimo cha mazoea ukishangaa hata 3.

Maharge kipapi(soya) hayamtupi mkulima ila utagharamia mbegu ya kutosha.Tembelea uzi za kilimo cha maharage wameeleza humu vizuri sana.

Ushauri kama unaweza kupata mbolea ya kuku hutajuta, maharge hayaungui hivyo na hustawi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…