Nenda kasome acha ujinga wa kuanza kubishana chuo gani kizuri kipi kibaya,as long as kimepewa usajili wa kudumu na mamlaka husika we nenda kachukua MBA yako ikusaidie maishani. Ni kweli kuna vyuo ada ni juu na bado unaweza usiipate hiyo masters,kusoma bongo imekuwa kama bahati hivyo ukiipata usiichezee.