Swali kuhusu mikopo ya elimu kwa mtu anayesoma nje

Swali kuhusu mikopo ya elimu kwa mtu anayesoma nje

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Kuna mtu anayejua ni nini msimamo wa serikali kutoa mkopo kuhusu mtu anayesoma nje? Tusema nataka kwenda kusomea Masters Germany, ile bodi ya mikopo itanifikiria?

Edit: Mkopo not Mokopo
 
Last edited:
Ninachoelewa mimi Khang ni kuwa serikali ilijitoa kufadhili wanafunzi wa Masters unless uwe mwajiriwa wa chuo fulani.Hata hivyo unaweza kuwa academician katika chuo lakini ukaambiwa hamna fedha.

Bodi inafadhili undergraduate studies tu
 
Kuna baadhi ya nchi mathalan Sweden etc elimu ni bure, hivyo kama umepania kujiendeleza unaweza ukaanza kujichangisha fedha ya kujikimu kwa ajili ya kipindi utakachokuwapo huko, ili wakati utakapowadia unabaki kutafuta admission tu.
 
Actualy nimeapply huko Sweden, deadline ilikua 15th January, tunasubiri majibu.
 
Kuna mtu anayejua ni nini msimamo wa serikali kutoa mkopo kuhusu mtu anayesoma nje? Tusema nataka kwenda kusomea Masters Germany, ile bodi ya mikopo itanifikiria?

Edit: Mkopo not Mokopo

Nskumbuka kama Bodi ya mkopo haitowi mkopo kwa ajili ya Masters hata ukiwa ndani ya nchi!
Kwahiyo kama unaenda Germany jalibu kutafuta sponsor, je unaenda kusomea masters ya Natural Science?
 
Actualy nimeapply huko Sweden, deadline ilikua 15th January, tunasubiri majibu.

Naomba nijue masomo yako. hapa finland wameishatangaza nafasi za masomo, hakuna fee na pia unaweza kupata scholarship
 
Kwa sasa bodi ya mikopo inatoa udhamini wa Masters lakini ni kwa ajili ya walimu/waadhiri wa vyuo vya elimu ya juu vya serikali ili kupunguza upungufu wa walimu kwenye elimu ya juu
 
Back
Top Bottom