Kuna baadhi ya nchi mathalan Sweden etc elimu ni bure, hivyo kama umepania kujiendeleza unaweza ukaanza kujichangisha fedha ya kujikimu kwa ajili ya kipindi utakachokuwapo huko, ili wakati utakapowadia unabaki kutafuta admission tu.
Kuna mtu anayejua ni nini msimamo wa serikali kutoa mkopo kuhusu mtu anayesoma nje? Tusema nataka kwenda kusomea Masters Germany, ile bodi ya mikopo itanifikiria?
Edit: Mkopo not Mokopo
Actualy nimeapply huko Sweden, deadline ilikua 15th January, tunasubiri majibu.