wakuu naomba kufahamishwa.
je,ninaruhusiwa kuifungasha upya kwenye mifuko yenye nembo yangu bidhaa iliyotengenezwa na kufungashwa na mtu mwingine?
mfano nanunua bidhaa iliyosindikwa na kuwa packed na kampuni fulani iliyothibitishwa ubora na shirika la viwango la kimataifa ISO, kisha mimi naichukua ile bidhaa naipaki upya kwa nembo yangu halafu naiuza.kama inaruhusiwa utaratibu unakuwaje?
note:sitaki vifungashio vyangu vibebe nembo mbili ya mzalishaji na yangu,nataka viwe na nembo yangu tu, na mimi ni act as a producer in the sense that kwenye kiwanda changu bidhaa ile ninayoinunua inakuwa assumed as unfinished product na kuwa finished product inapotoka kiwandani kwangu.pia nataka nipewe nembo ya ubora wa bidhaa ya TBS.
karibuni kwa michango yenu.
natanguliza shukurani