Swali kuhusu second around application

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habari zenu wana JF najua humu ndani tumetofautiana sana kwa kila kitu...kama utakubali kuwa hata vidole vya mkononi mwako haviko sawa basi ndivyo hivyo tulivyo tofautiana humu ndani..kuna walio ajira,kuna walio vyuo vikuu humu ndani,kuna wanao tarajia kwenda vyuo vikuu,kuna walio level ya secondary,diploma na level zingine nyingi hivyo lazima tuwe tumetofautiana humh ndani hadi uelewa..

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja maada hii inahusu kwa walio fanya second around application juu ya selection yao inakuwaje kwasababu nimesoma threads na mawazo mengi ya watu humu lakini nilihisi kama wanawachanganya kwa wale walio fanya second around application..ipo hivi nijuavyo mm kama ww ni mhanga wa second around ukifanikiwa kuchagua chuo pamoja na facult na una vigezo means moja moja unakuwa selected kwenye hicho chuo na hapo kuna kuwa hakuna tena first come first serve.. kwa sababu maelekezo ya TCU yanasema kama chuo pamoja na facult husika applicants wanao hitajika wakijaa means wakifikia maximun number inayo hitajika ile facult na chuo husika automatically kitaondoka kwenye list ya vyuo vilivyo baki hivyo ndivyo mm nielewavyo

Lakini nimeona baadhi ya comment za watu humu wakisema unaweza ukafanikiwa kufanya second around kwa available slots zilizo kuwepo na usiwe sected kwa kigezo cha first come first serve je kuna ukweli wowote hapa..

Na kama upo nini maana ya ile facult na chuo husika kuondoka automatically pindi available slots zikijaa... au TCU wanasema available slots zipo 54 kumbe zipo 24 kiuhalisia ili watu 54 wafanye application na 30 watemwe kwa kigezo cha first come first serve

Na kama sio hivyo kuna haja gani ya kuwavunja moyo kwa walio fanikiwa kufanya second around application kuwa hawata kuwa selected... maana nielewavyo mm kitendo cha kufanikiwa kufanya application second around ni kwamba umesha overcome first come first serve je usahihi wa hili liko wapi ili watu wasiwe na mawazo naomba tueleweshane kuhusu hili kwa kuzingatia haya

1) second around unaweza fanikiwa fanya application na usiwe selected kwa chuo ulicho omba kwa vigezi vipi

2) na nn maana ya available slots zikijaa chuo na facult husika kuondoka automaticaly

3)na ukifanikiwa kufanya second around application hata wa first around profile ako itakuandikia PROSSECED SUCCESSFUL YOU HAVE BEEN SELECTED halafu huwi selected nini maana ake

4) je ni kweli walio fanya second around application ni wale ambao ufaulu wao ni mdogo wa kubabaishia mbona kuna watu wana dvsn 1,2,3 na wameambiwa wafanye second around na kuna wale walio pita kwenye first around lakini ufaulu wao ni wa mashaka hili lipo vipi ukizingatia jinsi second around wanavyo tengwa,kusemwa vibaya,kuvunjwa moyo,na mengine mengi tena walio tangulia ki elimu wapo mstari wa mbele kufanya hili hata wale walio bahatika mwanzo na wao wameungana kuwasema vibaya hawa wa second around.. je nn maana ya FIRST AROUND NA SECOND AROUND kisomi zaidi

5) je selection zikitoka hata bodi ya mikpo itaonesha huyu ni wa first na huyu ni wa second??? Au chuoni tukifika tunasoma tofauti wa first na wa second na kama co hivyo kwa nn mambo ya kishamba wanafanyiwa second around

Na karibisha mchango wako kwa pale ulipo nielewa,kwa uelewa wako njoo tuelekeze sote tuelewe twende pamoja

Mwanzo nimesema tupo tofauti so sitategemea kashfa humu,matusi au kuchekwa kwa uelewa wangu..nielekeze unacho elewa tuelekeze sote

KARIBU...TUJADILI KWA PAMOJA
 
Kuna Mtu Kachagua Facult Kwenye TCU...Mbona Kusoma Facult Ni Kazi Sana.Au Unamaanisha Kozi.
 
Kuna ambao pia walidisco sasa wamefanya application kwa Mara nyingne kujaribu upepo
 
Second Around!!!! Acheni kushinda Facebook please. Umerudia hio kitu kama mara tano hivi kuanzia kwenye heading hadi content!!!! Natamani nione application yako. Huu ndio mfano wa Wanafunzi tulionao ambao wanatarajia kuja kuajiriwa kweli!!!!!! Inaumiza sana sana
 

Alie elewa maada huchangia na kutoa mawazo yake lakini yule asie kuwa muelewa hukaa na kuangalia mistake wapi imefanyika ili ukosoe itakusaidia nn na nn ambacho hujaelewa hapo jaribu kuwa mtu mzima kidogo
 
Mi nachojua kwa aliyechagua second round basi competition ndiyo uliyomtoa na sio ufaulu wake hasa inategemeana na kozi na chuo husika ulichochagua, mfano vyuo kama MZUMBE UDSM na SUA kuna ushindani mkubwa sio siri hilo hata TCU wanalijua, unakuta mfano kozi inahitaji watu 45 alafu wanaomba watu buku 2, sasa hapo ujue hata mtu mwenye dv1 na div2 anaweza kutemwa.

Kitendo cha mtu kumkejeli wa second round ni ushamba uliokubuhu na kukosa maarifa.
 
Alie elewa maada huchangia na kutoa mawazo yake lakini yule asie kuwa muelewa hukaa na kuangalia mistake wapi imefanyika ili ukosoe itakusaidia nn na nn ambacho hujaelewa hapo jaribu kuwa mtu mzima kidogo

Kijana wangu nisamehe labda nimetumia lugha kali kidogo ambayo haikukupendeza! Ila kubali kukosolewa kuwa umefanya kosa. Inauma lakini utajirekebisha maana kosa dogo hivi (kama unavyolichukulia) limeshawagharimu watu wengi. Sitaki ije ikugharimu kwa kupuuzia mambo madogo madogo hivi. Imagine ungekuwa kwenye Interview au hio ndio ingekuwa application yako unafikiri ungepita? Nimekukosoa kwa nia njema lakini kama unaona nimekuudhi, basi nisamehe tuendelee na mada!
Thanks
 
ukifanya second round applicatio automatically hiyo ndo course utakayo isoma thats why unapewa nafasi moja tu!
na mfumo unaotumika ni kila nafasi inavyoombwa na mwombaji akafanikiwa basi slots zilizokuwepo zinapunguzwa pale pale kama zilikuwa 100 basi zitabaki 99 kwa kigezo kwamba soon zile nafisi zikijaa ile course inaondolewa!
NB kama umefanya second round application na ikakubali basi hicho ndo chuo na course utakayo kwenda kuisoma!!!
 

we acha tu kaka. yaani cjui shida iko wap. mfumo au watu wenyewe. eti
 

Pamoja mkuu mm nakubali kukosolewa aiseee sema tulielewana tofauti bt yamekwisha kiroho safi pamoja tena... hiv ndo tunaendaga
 

Hapo kaka umenena nimekuelewa sana thankxx
 

Thankx sana mkuu nimekuelewaa
 

thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…