Swali kuhusu video shooting bongo movie.

Swali kuhusu video shooting bongo movie.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Habari wazee.
Najua humu kunaweza kua na wataalamu wanaohusika na kushoot bongo movie au ata waigizaji wenyewe.
Nilikua na swali kidogo kuhusu hii sector.

Hivi kwa kawaida movie moja (Bongo Movie), inachukua siku au miezi mingapi kukamilika kurekodiwa?
Hapa nauliza ile shooting tu, tuachane na editing au manjonjo mengine yanayofanywa kwa software baadae.

Pia wakati wa kushoot video, camera ngapi zinahusika? Namaanisha kuna camera zaidi ya moja au?
Nishawahi ona kwenye movie flani ya "Ong Bak", tukio moja linaoneshwa katika angle tofauti tofauti, ikimaanisha camera zaidi ya moja ilihusika. Vipi hpa?

Na vipi kuhusu budget ya kushoot. Kuanzia vitu walivyo kodi (Kama nyumba, mavazi, makeup etc), average ina-range bei gani?
Movie nyingi (kama sio zote) za wenzetu, wanasemaga budget iliotumika katika kutengeneza hiyo video. Naonaga sometimes Millions of Dollars zinahusika.
Vipi kwetu movie iliotia fola kwa gharama ya utengenezaji ipi? Tsh ngapi?

Angalau upande wa Bongo Fleva, mfano mzuri Diamond, kakutajia jinsi video yake ya Number 1 ilivogharamia kutengeneza na mchanganuo ukaeleweka. Vipi Bongo Movie huo utaratibu umewah onekana?

Sorry kwa mpangilio mbovu wakuu.

Shukrani.
 
Camera moja,nyumba wanaazma za idd azan au john komba ndo maana majambazi wanatakiwa kuvua viatu, kushoot siku moja. Hata ukiwa na milioni 5 inatosha kwani waigzaji wengne hawataki kulipwa ila kuuza sura tu
 
aaaah wanavyorecord vicamera vidogo hamna hata stendi wanazifungia juu ya miti,unategemea nini
 
mimi nakumbuka few months ago, nilichelewa mtihani wangu wa finance sababu ya shooting! camera moja tu besti!!

mara over shoulder, top up, miguu , kichwa, jicho, aaahh! its really boring!

unapigwa shots nyiingi mpaka unaboreka! mawingu yakitanda sasa ndio kazi,, mnangoja mpaka yatoweke!
 
Camera moja,nyumba wanaazma za idd azan au john komba ndo maana majambazi wanatakiwa kuvua viatu, kushoot siku moja. Hata ukiwa na milioni 5 inatosha kwani waigzaji wengne hawataki kulipwa ila kuuza sura tu

Hapo mwishoni hapo... Nilishawahi kusikia pia. Kwamba kuna watu bora waonekane tu, ata usipomtoa buku yeye fresh tu. Hafu utamkuta ni Super Star.
 
mimi nakumbuka few months ago, nilichelewa mtihani wangu wa finance sababu ya shooting! camera moja tu besti!!

mara over shoulder, top up, miguu , kichwa, jicho, aaahh! its really boring!

unapigwa shots nyiingi mpaka unaboreka! mawingu yakitanda sasa ndio kazi,, mnangoja mpaka yatoweke!

Mkuu hivi hii ndio sababu kwanini 90% ya Bongo movies zinaigiziwa indoors? Kucontrol mazingira esp maswala ya mwanga nje shughuli eehh??
 
Mkuu hivi hii ndio sababu kwanini 90% ya Bongo movies zinaigiziwa indoors? Kucontrol mazingira esp maswala ya mwanga nje shughuli eehh??

exactly mr Secret Service, due to those disturbances, nieamua kwanza nimalize kwanza bachelor yangu then i will continue with my acting career!!
 
Last edited by a moderator:
Mmh,mm nilibahatikag kufanya shooting yaan custome unajifanyia mwenyew,nguo unajipangia mwenyew,yaan hawaangalia nguo fulani inafaa wapi yan bora liende ndo maana unakut mtu yupo ofisin anavaa kisharobaro,nakumbuka camera moja tu ndo iliyousika halaf unapigwa shots nyingi,mar wakuzoom mkono mara take one,take two,ts boring mar kumi ray anajitahid kidog,at least u can feel unarecord movie,halaf nakumbuk nilikuw sina confidenc na camera director hakuligundua hlo movie ikaendelea kushoot yaan sikufanya poa kabisa,k
 
Kioja kingine kwenye hyo movie, tulikuwa wasanii kama 20 ivi wote tulitakiwa kucheza scene tofauti,tukaenda kwenye nyumba moja ivi ilikuwa na vyumba kama vitatu na sebule,bas tugawanywa kila mtu na scene yake kweny chumba 1,wengine 2,wengine 3,yaan kana kwamba yan wote tulikuwa sehemu tofaut kumbe vyumba ndo tofauti ila nyumba ni moja yaan nilichoka japokuw nilipenda ubunifu,kila sehemu ya nyumba ilitumika kwa kujitegemea duh hawa jamaa kweli wasanii
 
kwenye filamu kuna vitu vingi nyuma ya pazia, ukijua utacheka sana.
Me kuna filamu as class asgnment nilifanya, me ndo director, me ndo cinematographer, me ndo script writer, me ndo executive producer, me ndo location mananger dah noma kweli.
 
mimi nakumbuka few months ago, nilichelewa mtihani wangu wa finance sababu ya shooting! camera moja tu besti!!

mara over shoulder, top up, miguu , kichwa, jicho, aaahh! its really boring!

unapigwa shots nyiingi mpaka unaboreka! mawingu yakitanda sasa ndio kazi,, mnangoja mpaka yatoweke!

wewe ni benpoul
 
Kioja kingine kwenye hyo movie, tulikuwa wasanii kama 20 ivi wote tulitakiwa kucheza scene tofauti,tukaenda kwenye nyumba moja ivi ilikuwa na vyumba kama vitatu na sebule,bas tugawanywa kila mtu na scene yake kweny chumba 1,wengine 2,wengine 3,yaan kana kwamba yan wote tulikuwa sehemu tofaut kumbe vyumba ndo tofauti ila nyumba ni moja yaan nilichoka japokuw nilipenda ubunifu,kila sehemu ya nyumba ilitumika kwa kujitegemea duh hawa jamaa kweli wasanii

Kufanyia katika Nyumba moja sishangai sana. Movie za indoor tunajitahidi katika sauti. Vipi mbona tukiwa beach mfano upepo ukipuliza sauti hazisikiki? Ina maana zile mic ndogo za kubana kwenye shati (Sizijui, nazionaga kwenye habari zamani kidogo) hazitumiki??
 
kwenye filamu kuna vitu vingi nyuma ya pazia, ukijua utacheka sana.
Me kuna filamu as class asgnment nilifanya, me ndo director, me ndo cinematographer, me ndo script writer, me ndo executive producer, me ndo location mananger dah noma kweli.

Yote hayo ni kukwepa gharama au wataalamu wako wachache Tanzania?
 
Back
Top Bottom