Hahahaha kwa kweli! Awape hongera zao tu jamani....uwivu tu umetanda kichwani!Ndo shida ya watu kama nyie. Mnatumia akili nyingi kuwaza upumbavu
Aisee...Yani wewe kma sio mchagga basi Ni mnyambo maana hayo makabila kwa kuuwa vpaji kwa kusingizia shule,hawajambo...nahisi ningelikomboa soka la bongo kma sio wazazi..!!all is good anyways..!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo shida ya watu kama nyie. Mnatumia akili nyingi kuwaza upumbavu
Makonda mwenyewe aliiba cheti na kule Moshi akawa analala wenzie wakisoma, lakini Leo anawaambia wataalamu wa Ardhj kuwa anatamani kuwachapa viboko.Hivi kusoma na kucheza mpira wa kulipwa ipi inalipa sana, wacha mawazo ya kizamani we mzee
Swali zuri sanaHabari wakuu?
Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea namasomo ila binafsi nashindwa kuelewa kama wangali wapo masomoni ama La, nakama wangali kwene masomo je kwakipindi hiki ambacho hawapo nchini kwamuda wamiezi kazaa inakuaje kuhusu masomo yao hususani ngazi yasecondary.?
Pongezi za dhati nimezitanguliza juu yao kwakutuwakilisha vyema na wala sina wivu wowote juu yao mana wale sio simba nayanga wale nivijana wetu wanaliwakilisha Taifa na wamekua mabarozi wetu wazuriHahahaha kwa kweli! Awape hongera zao tu jamani....uwivu tu umetanda kichwani!