Yani wewe kma sio mchagga basi Ni mnyambo maana hayo makabila kwa kuuwa vpaji kwa kusingizia shule,hawajambo...nahisi ningelikomboa soka la bongo kma sio wazazi..!!all is good anyways..!!
Hakuna aliyeniambia kama wanasoma ama La ndo mana binafsi nikaona niwalize wana Jf mana mbali nasisi wengine kuwaona tu kwene Tv najua humu wapo wanaowafahamu vyema kama si Ndugu basi jirani
Makonda mwenyewe aliiba cheti na kule Moshi akawa analala wenzie wakisoma, lakini Leo anawaambia wataalamu wa Ardhj kuwa anatamani kuwachapa viboko.
Kwa nchi hii elimu imeanza kuwa sio jambo LA msingi tena maana haiheshimiwi