Kwa mantiki hiyo inaishiria hazipo katika standard inayotakiwa....ila mbona idadi ya vifo kutokana na AIDS naskia vimepunguakwenye mkutano wa G8 Mwaka siukumbuki vizur nchi tajiri ziligoma kutoa bure ARV kwa nchi maskini..leo zinagawiwa bure.leo zinatolewa bure na kwa lazima.unzie hapo
Shukrani Mkuu kwa maelezo mazuri.....hofu yangu ni kwamba kwanini hivi vigezo havi apply kwa binadamu woteMkuu Kuna viwango tofauti kulingana na nchi husika, viwango vya ubora vipo vya juu,Kati na kawaida/chini... International Standard Organization ISO imewe na kulezea viwango tofauti*2 vya ubora kulingana na bidhaa.... Hivyo basi Kuna bidhaaa nyingi tu ambazo Ni za kiwango Cha ubora wa kawida/chini au Kati ambavyo ninafaa kabisa kwa matumizi lakini vikienda ulaya vikataliwa maana wao wanatumia viwango vya ubora vya European Union Standards ambazo niza sawa na zile za ISO ya juu kabisa...
Sijuka Kama nimejitahidi kueleweka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya ubora wa vitu Ni kubwa Sana na haishii TU kwenye kuti/bidhaa pekeee Bali Hadi namna gani imetengenezwa hatua zote Hadi kukamilika........Shukrani Mkuu kwa maelezo mazuri.....hofu yangu ni kwamba kwanini hivi vigezo havi apply kwa binadamu wote
Mana mpaka mwengine amekikataa kitu kuna uwezekano mkubwa kuna ulakini hapo
ukisikia mtu anakwambia kutokana na aids vimepungua hugo ni ama ana akili kama za Jpm au hayupo fieldKwa mantiki hiyo inaishiria hazipo katika standard inayotakiwa....ila mbona idadi ya vifo kutokana na AIDS naskia vimepungua
Kwani.mtoa takwimu ni nani?.....utoe prevalance ndogo alafu utegemee kupokea ARVs za kutosha,lazima kwa swala linalodhaminiwa takwimu utoe zilizo sahihiukisikia mtu anakwambia kutokana na aids vimepungua hugo ni ama ana akili kama za Jpm au hayupo field