Swali kuhusu wachezaji wa timu ya taifa

ramadhani kimweri

Senior Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
181
Reaction score
179
Kuna swali linanisumbua sana kichwa changu nataka kujua kwa kirefu zaidi JE WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA WANALIPWA?
 
Yaah wanalipwa posho za kujikimu kulingana na mazingira waliyopo.Na kwa Africa hili jambo huleta migogoro sana mpaka kufikia wachezaji kugoma baada ya kulimbikiziwa posho zao kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…