Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rosa Ree hakuna kitu mnamkuza tu. Kwanza hata mistari yake myepesi. Huu ni mtazamo wangu lakini. Sijawahi kuona ukali wa Rosa Ree labda kwenye up in the air ndo nilimwelewaView attachment 2187558
Mdau mmoja huko Instagram amekuja na swali hili gumu, JE? kwa hualisia wa ngoma zao za Mwaka jana Chemical Alistahili Kupata Tuzo ya Rapper Bora wa Kike Tanzania Mbele ya Rosa Ree?
Toa Maoni yako Hapa Chin
Listen to Satan and blue Print , nakuwekea hapa ndo utajua ukali wake kwa ufupiRosa Ree hakuna kitu mnamkuza tu. Kwanza hata mistari yake myepesi. Huu ni mtazamo wangu lakini. Sijawahi kuona ukali wa Rosa Ree labda kwenye up in the air ndo nilimwelewa
Listen to Satan and blue Print , nakuwekea hapa ndo utajua ukali wake kwa ufupi
Satan Video:
Blue Print Video:
Na wewe unaruhusiwa kuweka za Chemical ambazo ni kali tubalance hii habari
Na sasa hivi Chemical anasoma PhD yake ya masuala ya mziki University of St. Andrews, Scotland.Rosa uamerika mwingi Sana asijue yeye ni mtz ,so Ana hiphop ya kimchongo na ujanja ujanja wa kucheza na vimaneno vya kingereza .
Chemical yuko poa Sana ni msomi wa chuo kikuu lakin Hana ujanja ujanja wa kucheza na maneno mengi ya kingereza km Rosa anayetaka kujifanya lady Gaga sijui cad b