Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani