Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.

Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
 
Unaweza kumtaja mtu mmoja ambae upo nae pm na mtaani mmeonana lkn hapa anakana
Weeee. Unataka nipigwe eeh. Nishakula mchambo usiku huu unanitosha nisije pigwa na vibao bure
 
Hawa mamods nahisi wangeniondolea tu hii option ya PM mana ni sawa na account ya t0 pesa na sina ndururu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…