swali kwa akina dada tu!

Kuwa mwangalifu coz mwanamke anakuwa kutokana na the way unamvyomtreat.
 
Umesha lamba??? Hivi kwa nini nyie guys hutumia lugha ya dharau kiasi hiki jamani?? Kwa haya maneno uloandika hapa, una haki ya kupata wengine 6 wapiga mizinga!

Jamani na wewe Kipipi, uelewi tuuu...!!? Mwenzio anapenda kulamba, mwache aendelee kulamba tu. Kwani ukitaka kupata utamu wa pipi kijiti unafanyaje?
 
utasubiri saaana mwembe chini ya mwarobaini!! endelea kusubiri mwaya!!
 
utasubiri saaana embe chini ya mwarobaini!! endelea kusubiri mwaya!!
 
Mwanamke hatongozi bwana, raha ya mwanamke ni kutongozwa na anatongozwa x 99 but anamkubali mmoja tu
 
Unaonekana una dharau sana lakini naamini hujawahi kupenda na siku ukinasa utakumbuka maneno haya. Halafu acha kuchukua wanawake wa bei rahisi.
 
inawezekan wewe pia hijui kupenda ila huwa unatamani tu na ndo maana hupati akupendae.
 
Jakubumbaaaa, njoo basi nikupe hug zito, unajuaga nakupendaga sana. Usisahau kadi yako ya atm eee mpenzi.

hahahahaha......nimemkumbuka yule nani sijui wa mizengwe....anaitwa maringo sijui
 
mi nakuambia kazi tunayo na sio ndogo...................

Umesha lamba??? Hivi kwa nini nyie guys hutumia lugha ya dharau kiasi hiki jamani?? Kwa haya maneno uloandika hapa, una haki ya kupata wengine 6 wapiga mizinga!
 
Hapendwi mtu, pochiiii....!!!
 
Kwani nyie huwa mnapendaga nini? akili na mawazo yenu yote mkishatongoza iko kwenye kidudu sasa kama macho yenu yanaangalia vidudu vyetu kwa nini na sisi tusiangalie mifukoni mwenu? Ngoma droo
 
Kwani nyie huwa mnapendaga nini? akili na mawazo yenu yote mkishatongoza iko kwenye kidudu sasa kama macho yenu yanaangalia vidudu vyetu kwa nini na sisi tusiangalie mifukoni mwenu? Ngoma droo

Maty bwana umencehekesha sana. Na hapo kwenye blue angalia visikung'ate if at all unavyo, Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…