Swali kwa business adminstrator, finance managers, consultants, accountants, economist,

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni 18% return on investments (ROI)
Working Capital about Tshs 450 million. Turnover Tshs 2,000 million(2 bln)
Inflation (Industrial) range 12% to 20% within 5yrs- make lt 16%.
Kampuni imeamua kupanua biashara aidha kwa kuongeza Mtaji toka kwa Financiers
RIBA au gharama za mtaji huo sokoni(bankers, non equity investors ) ni 18% to 25%
Wanaomba ushauri wenu kufanya maamuzi kwani soko halina shida kwa return zilizopo.

Wakope ? au wafanye nini ? je biashara hiyo inakuwa ? kwa kiasi gani ?
 
kama unataka ushauri wa kitaalam,ni pm kwa kunipa namba ya simu yako,maana kuna kampun ya consultant ya mtu wangu wa karbu nikuunganishe nae akupe ushaur wa kitaalam kwa malipo nafuu.zaidi ngoja wataalamu waje.pia hi thread ungeipeleka jukwaa la uchumi ndo
 
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni 18% return on investments (ROI)
Working Capital about Tshs 450 million. Turnover Tshs 2,000 million(2 bln)
Inflation (Industrial) range 12% to 20% within 5yrs- make lt 16%.
Kampuni imeamua kupanua biashara aidha kwa kuongeza Mtaji toka kwa Financiers
RIBA au gharama za mtaji huo sokoni(bankers, non equity investors ) ni 18% to 25%
Wanaomba ushauri wenu kufanya maamuzi kwani soko halina shida kwa return zilizopo.

Wakope ? au wafanye nini ? je biashara hiyo inakuwa ? kwa kiasi gani ?

kwa ushauri tu nadhani ni vema ukawaona watalamu na ukapozi hoja yako na wao watakushauri vizuri sana na hasa ukizingatia mpaka hapo data ulizotoa bado hazijakamilika kwani kuna swala la kodi na risk against project diversification
 
Back
Top Bottom