Wakuu salamu zenu!
Mimi ni mteja wa siku nyingi CRDB natumia internet kukagua transaction za biashara zangu, mara kadhaa unaweza kuta transaction moja kwenye mtandao (online) labda umelipwa cheque haionekani kabisa hata siku zaidi ya 10, lakini ukienda bank kuwauliza eti wao wanaiona, pili kuna baadhi ya labda bank charges / commissions kwenye mtandao hazipo kabisa wao Bank waki print bank statement zinaonekana.
Swali ni kwa nini ? na kama ni tatizo la ki ufundi mbona halishughulikiwi na kutoa taarifa kwa wateja ?
au tukujisawau TUNAKATWA?