Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Ni hivi, nimevuta maji yapata miaka mitano iliyopita, ilinighalimu Kama laki saba hivi,.
sasa Kuna mtu jirani yangu ameenda mamlaka ya maji ,baada yakutajiwa ghalama Hadi maji yafike kwake Ni kubwa, wakamuambia heti akiweza aniombe Mimi jirani yake nimuandikie barua hili aipeleke huko avute Kwenye hili bomba langu nadhani dogo la 3/4 ,
sasa nikifanya huu ujinga anaenufaika hapa Ni Mimi au Hawa mamlaka ya maji na huyu jirani,
kingine kwa tabia za roho mbaya za sisi waswahili ingekuwa Ni yeye asingekubari nahisi, Sasa hapa nafikiria kutokumpa idhini, Kwanza kingine naona ntakuwa sipati maji mengi kwangu Kama yeye atachukua nyuma ya bomba langu