Swali kwa hando na pj clouds

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
Wakuu nina maswali muhimu ningependa mnijibu
mimi sio nsikilizaji wa radio yenu lakini leo kwa bahati nilijikuta ninasikiliza kipindi chenu cha magazeti
kitendo mlichofanya na kashfa zenu hasa juu ya wapinzani ndio zimepelekea mimi kutua hapa jf na kuwauliza maswali mawili matatu kwa sababu hamkosekani hapa jamvini
huyo pj alipoanza kusoma magazeti alichukua gazeti la habari leo na kusoma report inayomuhusu Dr Slaa\
kwa kweli habari ilivyokaa na jinsi mlivyoshabikia mimi binafsi nilijisikia vibaya sana,inaoneka live kabisa hamumpendi Dr slaa na upinzani kwa ujumla wake
Hando kwa kuongezea chumvi aliongea kwa madharau na kusema (huyu mzee bana)

swali:
hivi wakuu hiyo kampuni mnayofanya kazi hapo ni mali ya serikali??
hivi kuna faida yoyote mnayopata kwa kuukashifu upinzani?
hivi mnajua mnasikilizwa na watu tofaouti wenye itikadi tofauti za kisiasa?
hivi mnajua kwamba mnafanya kazi public radio?
hivi mishahara ya 175,000 mnayopewa na huyo muhaya mnaona mmefika?
hamjui hiyo hela sisi wengine ni matumizi yetu ya siku moja?
kwa kuendelea kushabikia ccm mkiwa hapo kwenye public radio mnapata faida gani?
mnadharu mfumo mzima wa siasa na demokracia ndani ya taifa letu?
 
Maswali yako umeyaleta kusiko. Yapeleke Clouds pale Mikocheni.
 

Kwa hivyo haya ni maandiko ya Graduate wewe?
Kazi ipo kwa kweli!
 

>>hahahahahaha...ama kweli wewe kunguru muoga mtu ulikua naye kwann sasa hukumwambia na humwambii live akujue fulani kasema..unakuja kulalamika humu kwa ID za kujificha..sio Pouwa kabisa....na mm niliwaona si mlikua safari canivore. mlalakua?..nishakujua bro
 
Hando ana certificate ya kutayarisha pilau ya dagaa.
 
Episodes kwa hiyo na wewe unatueleza una ka-degree fake kama mdau?au ulikua mpiga picha eneo la tukio?
 
tususie kusikiliza clouds fm,au tusubiri chadema ichukue nchi iwatoe macho
 
hawana lolote wale! wanaganga njaa tu wale,me nafikiri yule bwenga(muhaya) anawacamerun ili wasife njaa! Radio ya WAFUU!!!!!
 
sometime wamezid hawa mbwiga na hyo mshamba anasema ooh sio mahala pake **** kwel sijui na jenyewe linafanya kaz clouds
 
Mmekaa kinafkinafki...kazi kuzungumzia mambo ya wa2! Na nyinyi tafuteni radio yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…