Swali kwa kina dada, Tunavumilia ili iweje?

Dah!! :doh::doh: Haya mambo banaa ona sasa hadi nimekosa hamu ya kula:hungry::hungry: usiku huu inatubidi:hail::hail: naπŸ˜›ray2:πŸ˜›ray2: sana ili yasije kukuta halafu mtu ukaanza:fencing::fencing:kama sio :A S-cry::A S-cry: na:faint::faint:na :A S-confused1::A S-confused1:halafu una :rip::rip::rip: sababu ya :A S-heart-2::A S-heart-2:
 

Endelea kuvumilia na usichoke utapata thawabu mbinguni, tena mbinguni unajilimbikizia mema usichokoze banaa
 
Ni watu wazima ila wanataka kujifanya watoto
 


Kwa mtazamo wangu;
Wa kwanza - Attitude yake huyo dada ya kumridhisha mwanaume wake ndo inamfanya adharauliwe na kuchezewa na huyo kaka - hajaonesha her stand juu ya jinsi anavyokua treated vibaya... We are what we are and we, we can not be what we are not. Na huo dada anakua hivyo kumridhisha mwanaume kua ampende kumbe anaharibu, it beta arudi her normal self. Huyo mwanaume yuko comfy akiwa kwa the girl coz yuko huru. Hawi huru akiwa kwake sababu obviously ana mwanamke who is most important na maybe kapanga kumuoa na he would do anything for her..

Wa pili personally nashindwa hata kuelewa, moja ya kipimo kua the guy anakujali ni kukuruhusu kwenda kwake at what ever time or for what ever period.... Inawezekana kweli huyo mkaka yuko busy

Wa tatu Inawezekana huyo dada kapitia wanaume wengi wenye problems kibao na hatimae kampata the guy yuko fit katika kila sector i.e financially, physically, treatment (usichanganye kupigwa na kutreatiwa vibaya - mana mwingine very sensitive but kipigo hapo hapo), vitu kama kujali family ya mwanamke, kuwepo kwa ajili yake kwa lolote yani kwa ufupi reliable in every way!!! Sisemi it is right - but kwa perspective hio I can understand kama akifikilia what is kupigwa if the guy is right.

Pia kuvumilia kunatokana na ukweli kua katika maisha hata uwe mjanja kiasi gani lazima upitie kupat mpenzi atakae kushika maskio - ni kuomba tu Mungu alokushika maskio awe na busara.

 
<font color="darkred"><br />
Endelea kuvumilia na usichoke utapata thawabu mbinguni, tena mbinguni unajilimbikizia mema usichokoze banaa</font>
<br />
<br />
Ha ha ha nimecheka mpaka nimelia.,.
 
Namuomba Mungu ampe ujasiri na macho ya kuona,anateseka na aweza teseka zaidi. mwambie wapo wanaume wenye uwezo wa kumpenda zaidi na kumthamini as well as kumuheshimu.Atulie awe na imani na subira na amuombe Mungu,atampa,yeye hapendi tuteseke kwa excuse ya nampenda sana......!
 
Kutokujiamini tu kwa hao wanawake
 

Endelea kuvumilia na usichoke utapata thawabu mbinguni, tena mbinguni unajilimbikizia mema usichokoze banaa

Niitafute thawabu mbinguni kwa kero za mtu za makusudi
Labda angekua mume watu wangesema mengine labda kuna watoto au dini inakubana lakini mpenzi!!!!!!
Hiyo thawabu aipate yeye kama ataweza kuvumilia hivyo visa
 
Hiyo dio adha ya long distance relationship, hapo tafuta tu wa kukupa company hivihivi kutu hii hapa
 
Kweli kabisa michelle unateseka kabla hujaolewa! je ukiolewa ufanyeje sasa? anzamaisha mapya achana nae huyo utakufa na presha bure
 

Endelea kuvumilia na usichoke utapata thawabu mbinguni, tena mbinguni unajilimbikizia mema usichokoze banaa

Thawabu kwa kuvumilia mateso na wakati huo unatenda dhambi maana hujaolewa na mnafanya mapenzi Nafikiri ni tabia ya wamama kuvumilia tangu zamani
 
Thawabu kwa kuvumilia mateso na wakati huo unatenda dhambi maana hujaolewa na mnafanya mapenzi Nafikiri ni tabia ya wamama kuvumilia tangu zamani
Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangahika
Wanawake wameumbwa kuvumilia
Lol!!!
 

Si ndio hapo, na ajiendeage zake tu kha! na apite kama wenzie walivyopita bwana, shida ya nini maisha yenyewe mafupi
 
Reactions: LD


mkubwa huwa hachoki.......lol
endelea kuwavumilia,kuwasikiliza na kuwaelimisha zaidi na zaid.,
 

Hahaha wewe bana!
 
Si ndio hapo, na ajiendeage zake tu kha! na apite kama wenzie walivyopita bwana, shida ya nini maisha yenyewe mafupi

Nimekumbuka wimbo wa pwani,
.....'usinitumie vibaya mtoto wa mwenzio wapo walionianza na wapo watakanimaliza"....

Jamani lakini nako kubadilisha sana mahusiano kama kiti cha daladala siyo vizuri hata kidogo......jamani msiache "kupambana"......lol

Kusema pambana ni rahisi sana, na hasa yanapokuwa kwa mwenzio,
manake kupambana kwingine ni kujitafutia R I P mapema....lol
 
Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangahika
Wanawake wameumbwa kuvumilia
Lol!!!


kuvumilia yepi hasa???,
manake mengine hayana utofauti na kujichimbia kaburi mwenyewe.....lol
 
Dada ana boyfriend wake na katika mahusiano yao anaona jinsi mwanaume wake anavyotoka na wadada wengine, haachani naye kabisa maana kila anapoongea na mwanaume kuhusu tabia yake hiyo anabembelezwa. Mwisho wa siku anakubali kuolewa na mwanaume huyu huyu asiye mwaminifu, huyu dada anakuwa anafikiria nini kichwani kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…