Mkuu mimi binafsi naona huo mchezo sitaweza kuufanya kwani ndugu hawataelewa kukubali damu ipotee kihivyo labda nifanye kwa siri bila ya kuwahusisha. Pia hiyo inaweza kusababisha ugomvi baadae kwani damu ni nzito mzee, fahamu zinaweza kukurudia ukadai mtoto.
mkuu hapo kila kitu utaambiwa wazi, ni kama makubaliano maalum.
na je inakuaje pale unapomega labda kicheche na mbegu kupotea?.vp ukipewa dau?, mama anataka mtoto tu. yani mbegu only
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama gp wa juzi, sasa ni gp mpya.
Ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'chrispin wewe ni handsome sana, nimependa niwe na mtoto wa mbegu yako', yani anataka umzalishe katoto kamoja tu gharama zote ni kwake kuanzia kuzaliwa mpka univasite kila kitu. Huyo mama yeye ni single, yani hana mume kutokana say na biashara zake na status aliyonayo umr umekwenda hajapata mume, ukishazalisha basi biashara inakwisha, hapa mabinamu na wapwa mnazungumziaje??
mimi imenitokea mara mbili.mara zote nimekataa kwa sababu
i believe damu yangu ni precious....
Kwetu tuna asili ya uongozi na pesa(leadership and wealth)
so kila mtoto kwetu anathaminiwa.
Hatuachi watoto walelewe bila baba.
Its important.
Je huyo mama atakubali kuja kunitambulisha kwa huyo mtoto kama baba yake? Kama jibu ni ndiyo binafsi sintokuwa na tatizo juu ya ombi lake baada ya kusaini naye mkataba wa ubaba wangu kwa mtoto, manake haya mambo ya mtoto kuja kuambiwa kuwa babako alishafariki au alikukataa ukiwa mdogo siyafagilii kabisa..
mama anakwambia yani yeye shida ni mtoto tu, yani mbegu yako tu, then baada ya hapo kazi yako inakua imekwisha. Kwani binamu huwa tunakumbuka mbegu tunazopoteza elsewhere?
Na nyie nao mnajivungisha tu vitu vyenu mmepewa bure kabisaa bila kulipia vat ..hahahah enendeni duniani mkaongezeke muijaze dunia tetetetete
Hapo hata mi nakusapoti, Mara ngapi zinapotea bwana? kwenye puli, vicheche, wet dreams n.k.
kuna shosti yangu pia anataka kufanya hivyo, nimemshauri kama ana hamu sana ya mtoto a adopt yatima ,wako wengi wazuri tu, baadae mtoto akijua ali adoptiwa kutoka nyumba ya yatima ili apewe mapenzi ya mama atafarijika zaidi, kuliko huyo atakaye gundua mama yake allienda kujiokotea mbegu kiholela na kupuuzia umuhimu wa baba ktk maisha yake
Binamu umeamkia upande gani leo?
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama GP wa juzi, sasa ni GP mpya.
ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'Chrispin wewe ni handsome sana, nimependa niwe na mtoto wa mbegu yako', yani anataka umzalishe katoto kamoja tu gharama zote ni kwake kuanzia kuzaliwa mpka univasite kila kitu. huyo mama yeye ni single, yani hana mume kutokana say na biashara zake na status aliyonayo umr umekwenda hajapata mume, ukishazalisha basi biashara inakwisha, hapa mabinamu na wapwa mnazungumziaje??
Mpwa kama unamjua binti au jimama au mdada anayeweza kutamka hayo maneno kwenye red, please mpe contacts zangu ASAP. Jamani kitu umepewa bure kwa nini ukibanie? Mama angebana mi ningezaliwa? Ila kwenye hiyo blue labda mpwa ufafanue kidogo. Kwamba kabinti (unajua mi na mahaba na watoto wa kike) kakizaliwa ndio basi tena siruhusiwi kukaona? No way meeeen!