San Opa
New Member
- Oct 12, 2016
- 3
- 1
Habari za muda huu.... Kuna tatizo limenipata wakati wa kutafuna kuna upande wa mwisho wa mdono kuna kanyama nakang'ata hivyo inanifanya nishindwe kutafuna vizur nilipokwenda uospital walinambia kuwa fizi zinavimba na kupelekea kunga'ata nyama ya mashavuni wakanpa amxiln na panaldo imemaliza week sion tofauti anaejua tiba au ni ugonjwa wa aina gani naomba anijuze asanten