Swali kwa mademu:Kitu gani kinakupa imani

Swali kwa mademu:Kitu gani kinakupa imani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama una boyfriend/mchumba/mpenzi ambaye ukimuomba 10000 au laki inakuwa Ni msala,atakuzungusha mpaka udate.na akikupa huenda yeye kule akawa anajipiga makofi mixer kukumwagia laana..swali je Ni kitu gani kinakupa imani kwamba anaweza akaja kutoa mahari ya million kukuoa.
 
Watu waoa hata kwa mia tano ww unaongelea milioni!? Afu nani kakwambia kuhonga hiyo ulioandika kwa wakati sahihi uliiombwa ndo kipimo cha kutoa mahali!

Ngoja wadada waje
 
Back
Top Bottom