Kama una boyfriend/mchumba/mpenzi ambaye ukimuomba 10000 au laki inakuwa Ni msala,atakuzungusha mpaka udate.na akikupa huenda yeye kule akawa anajipiga makofi mixer kukumwagia laana..swali je Ni kitu gani kinakupa imani kwamba anaweza akaja kutoa mahari ya million kukuoa.