Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa takatifu kanisani. usiku wa kwanza tunda mmelila gizani, asubuhi ukaja kugundua ana tatoo permanent one mbili mmoja kwenye paja pembeni kabisa na home sweet home na nyingine kwa bubs yaaani kama zile za eve je utaendelea kuwa nae?
Naomba jibu tafadhali
Masaki dot com kweli huna mchezo.
Wewe umeoa lakini?
lakini utoto wa mchungaji na tabia za mtu binafsi vina mwingiliano gani?
mtu hawi mtakatifu kwa sababu ya uchungaji wa babaye,
hapo ni wazi tu kuwa uchague moja tu kama umempenda ipende na tatoo yake
lah si hivyo muache na tatoo yake, maana mtu hafungwi na mtu juu ya nini akifanye
aonapo kuwa mtarajiwa wake ana tabia ambayo itkuletea makwazo baaye
hapa tukiijadiri hiyo tatoo yake haitafutika na kukuletea wewe amani
labda utwambie kuwa hoja ni Mtoto wa Mchungaji ana tatoo, lakini napo sia hoja
maana hamna cha ajabu hapo hiyo ni sehemu ya maisha yake yeye
yap hujakosea kweli hivyo anatakiwa kuijua tatoo ni kitu na ni nani anastahili kuwa nayo na nani hastahili kuwa nayo lakini jambo la muhimu ni kubadiri mtazamo wake juu ya tatoo hiyoVery well said.
BTW inategemea na mtazamo wa muoaji kuhusu tatto. Yeye anaweza kuwa na mtazamo kwamba mwanamke aliyejichora tattoo ni malaya na hivyo mtoto wa mchungaji hakustahili kujichora tattoo. Ni sawa na wale ambao wana mtazamo hasi kwa wadada wanaovaa cheni za dhahabu miguuni.
Ila expousure nayo ni muhimu sana katika mambo haya! Unaweza kuacha mke eti kisa ana tattoo kwenye mapaja! Tehetehetehe!
Ndoa ni uvumilivu, mvumilie mwenzako.
Hamna mwanadamu aliye mkamilifu.