Swali kwa madume wa jamii forums

na mimi sasa nisaidieni, nini mbaya na huyu dada kuji-tatuu?
 
And you call this worse?

Wait till you see the worst!
 
Mbaya ni kujitatuu pembeni ya mashavu.....!

ndo palipompendeza yeye, sasa mbona sioni shida bado?

btw: hapa bongo who can do it nicely???? mi natafuta fundi wa hiyo ati, kila ninyemuuliza yake kachorea wapi.....ooh SA, sijui marekani sijui wapi.....

can sm1 help?
 
You have my numbers, dont you
 
After all, I find tattoos so sexy....Kama kuna mdada ana tattoo humu jamani naomba tutete kidogo kwenye PM!
 
Pole Kiranja Mkubwa ,
Vp kaka tattoo zinakera? Pole , Kwani alikuambia kuwa yeye bado ni bikira? kama siyo what did you expected? Kama ulikuta siyo bikira kuchorwa Tattoo ni kitu kinachowezekana , Na lolote linaweza kuwa!!!:glasses-nerdy:, Ulokole wa wazazi hauamii kwa watoto, wokovu ni mahusiano binafsi baina ya mtu na mungu wake! usiangalie ucha mungu wa mzazi ukaamishia kwa mtoto no! hakuna uhusiano. Ongea tu mke wako muulize kwanini alizichora ili uondoe hofu yako, na usisahau wakati alipochorwa hakuwa mkeo!!! sasa ndio mkeo. Kwa hiyo mambo mengine yanaanzia sasa, ila zihesabu hizo ziizopo sasa ikiongezeka hapo ndo sheshe!!
 
kaka we kubali tu umeuziwa mke wa kichina.yaani wewe kutaka kufaidi mwenyewe umeenda kuoa kwa mtoto wa mlokole ukijua na mtoto atakuwa orijino mtiifu? pfuuuu,pole sana.imekula kwako hiyo.
 
ndo palipompendeza yeye, sasa mbona sioni shida bado?

btw: hapa bongo who can do it nicely???? mi natafuta fundi wa hiyo ati, kila ninyemuuliza yake kachorea wapi.....ooh SA, sijui marekani sijui wapi.....

can sm1 help?

Kama upo Dar nenda nyuma ya Bilicanas pale kuna roundabout na kituo cha mafuta ulizia kijana wa tatoo,wasichana wengi wanamsifu kwa utaalamu wake.Na kama unahitaji mtu wakuweka pini za ulimi pia namfamu mtu.
 
asante uporoto01
ni tatuu tu basi pini za ulimi sina interest nazo
 
Ngoja nimpeleke mke wangu huko.
Kama upo Dar nenda nyuma ya Bilicanas pale kuna roundabout na kituo cha mafuta ulizia kijana wa tatoo,wasichana wengi wanamsifu kwa utaalamu wake.Na kama unahitaji mtu wakuweka pini za ulimi pia namfamu mtu.
 
Haaa......acha masilaha mkuu, mi nilifikiri umekuta MASHINE HAKUNA, kumbe umeona tatoo tu zinakuchanganya? By the way UNAGONGA MASHINE au TATOO? Vuta pumzi tafuta bao la tatu chap chap, achana na habari ya tatoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…