SWALI KWA MEN: Leo ingekuwa siku ya kiama ukauliza umewalala wanawake wangapi.Ungejibu nini.

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
A common African man until he reaches 45 yrs old anakuwa kalala na si chini ya wanawake 100 kwa mujibu wa utafiti fulani.

Leo ingekuwa siku ya KIAMA as a man ukaulizwa UKIWA DUNIANI ULIWALALA/KUGONGA wanawake wangapi.

Jibu lako lingekuwa wangapi.!? What would be your answer.
 
Siwezi kusema kwa sababu nawaheshimu
 
Hivi kwenye hicho kiama ndo wanamaswali ya kipuuzi namna hiyo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…