CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Zuio lililokuwepo ni kutokuwa Askofu wa Jimbo, amesimikwa maana amechaguliwa kihalali lakini hajapangiwa Jimbo. Kwani kama watu wa Arusha hawamtaki kwa sababu ya interest ya wachache kuna majimbo mengi na kazi zingine ambazo Askofu ataweza kufanya! Kwa hili siyoni tatizo kwa sababu hajapangiwa kituo cha kazi na hasa cha Arusha ambacho ndo kuna watu waliotaka swahiba wao wanaomjua wao ndiyo achaguliwe lakini mambo ya Mungu ni ya Rohoni zaidi na si ya kimwili kama wanavyodhani wao!
Nimekuelewa baba Askofu -kama wewe/ofisi/uliyemwelekeza ndiye uliyejibu. Basi na AMANI itawale. Kazi ya Mungu haiitaji Mahakama. Nawashauri waumini waondoe pingamizi hilo, kazi ya Mungu itendeke. Kanisani hakuna biashara yoyote kama baba wa Taifa Nyerere alivyosema kuwa Ikulu kuna biashara gani. Ondoeni pingamizi ndugu zangu wauminihao wawili, tumtukuze Bwana.
Polisi Nawaomba HEKIMA itawale katika kutekeleza wajibu huu. Hatutegemei ya Mbowe. TUMSIFU YESU KRISTO.