Swali kwa mkuu STUNTER

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Mkuu STUNTER habari yako!

Mkuu unanipa wakati mgumu kukuelewa haswa pale napoona nyuzi zako.

Asilimia 100 ya nyuzi zako zinahusu papuchi, migegedo, na mademu.

Swali langu kwako mkuu, imekuaje mpaka imefikia hatua nyuzi zako zote zikawa zimejikita kwenye mienenendo hiyo?
 
Dunia sinia kila mtu anapakua anachoweza. Chagua unachoweza kisha kifanye unavyoweza.

Kuna mtu ni mchezaji wa tenesi tu na hachezi football. Utauliza kwanini anacheza tenesi tu?

Asalaam.
 
uceleb kazi sana

ushangai ben paul anaonyesha naye msambwanda
 
huyo jamaa tangu siku ya kwanza nilipatwa sana mashaka hata na uchangiaji wake tu,utadhani ana jinsia mbili ila anaitumia sana ya mtandao pendwa..
 
Mapenzi ndiyo kila kituuu......
...hata rammy ongala aliimba........

Bila mapenzi hakuna raha!!!!!
 
Kwa hiyo kwako mtu akiwa anaanzisha mada za namna hiyo ni mvulana eeh!
Sio wote, wengine wanaleta mada kwa shida maalumu.... lakini huyu mvulana anachangamsha kijiwe cha mbege.
 
Sio wote, wengine wanaleta mada kwa shida maalumu.... lakini huyu mvulana anachangamsha kijiwe cha mbege.
Ok kila mtu na tafsiri yake.

Kwangu jamaa kaamua kujikita huko na anajua anachofanya. Na usikute sio mvulana ni mwanamme kabisa. Kama watu watakavyokufasiri wewe au mimi kuwa ni wazee kumbe sio wazee au ni vijana wadogo kumbe sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…