Swali kwa Msajili wa vyama:Nidhamu ya mwanachama yeyote ipo mikononi mwa nani?

Swali kwa Msajili wa vyama:Nidhamu ya mwanachama yeyote ipo mikononi mwa nani?

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa,
CCM,
CUF,
CHADEMA NK
Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama?

Je, usajili wa chama huwa mwanachama mmojammoja huamua tu kuja kusajili chama?

Chama cha siasa na Msajili nani anawajibu wakujua tabia za mwanachama ndani ya chama?

Je, mgombea yeyote hutambulishwa na nani kwa Tume ya uchaguzi?

Ikiwa vikao vya chama vyenye wajumbe halali wakimfukuza mwanachama msajili ana macho mengi kuliko wajumbe?

Nani mlezi wa mwanachama ndani ya chama?

Hojaji zingine kama unazo karibu.
 
Wapinzani ni wachumia tumbo tu!

Ona mtu kama huyu[emoji116]
Screenshot_20210714-160521_Telegram.jpg
 
Hayo maswali Jaji sidhani kama atayajibu
Zaidi atumie nafasi yake kuwafokea chadema
 
Back
Top Bottom