Swali kwa Mwakyembe: Ina maana alilidanganya Taifa juu ya Richmond? Ukweli upi atauleta ulio kweli?

Kaazi kwenu mliomkaribisha ngamia ndani ya hema
 
Aliachia ngazi kwaajili ya fitna na kwa manufaa ya chama na rais.

Labda fitna za chadema maana viongozi wa chadema ndiyo walituaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Umesahau? Au bado ulikuwa kichinchiri na hayo huyaelewi tukukumbushe?
 
Labda fitna za chadema maana viongozi wa chadema ndiyo walituaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Umesahau? Au bado ulikuwa kichinchiri na hayo huyaelewi tukukumbushe?
Ulikuwa bado hujanizaa kipindi hicho.
 
AlhamduliLlah sina mtoto mjinga mithili yako.

Punguani wahed.
 
Rais Magufuli ana kazi kwa mawaziri aina ya Mwakyembe ni wakati muafaka sasa apumzike.Hakika bado ni mgonjwa.
 
Aliachia ngazi kwaajili ya fitna na kwa manufaa ya chama na rais.

Alikwepa kujieleza mbele ya bunge akakimbilia kujiuzuru ili kukwepa ukweli na kuumbuka.
Walaaniwe wote walioshirikiana kuunda mitandao ndani ya vyama vya kisiasa kwa lengo la kujinufaisha binafsi na washirika yao
 
Hivi Mahakama ya mafisadi inafanya kazi gani?
 
Labda fitna za chadema maana viongozi wa chadema ndiyo walituaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Umesahau? Au bado ulikuwa kichinchiri na hayo huyaelewi tukukumbushe?
Lowassa alimuokoa best yake JK,jamaa likaja kumgeuka!
 
Yeye alikuwa waziri wa katiba na sheria.na pia wameanzisha mahakama ya mafisadi.sasa alishindwaje kupeleka ushahidi mahakamani.na bado anasema anao ushahidi anashindwaje kupeleka mahakamani.
 
Ni wenye akili nyanya na za kishogashoga ndo wa naamini lowasa alionewa. Wanaume rijali hawezi kila wakati kuhoji issues zilizokamilika na zilizokwisha jadiliwa mjadala ukafungwa.

Mwakiembe yuko sawa na mwenye mashaka naye akajifungue wodini.

Jamani;
Mbona mods mnaruhusu watu wenye nia ovu kuzichafua threads za watu?? Sasa huyu mtangaza biashara zake mbovu ameingiaje hapa?? Hao aliowaona mashoga humu jf mbona hawaambii waanzishe thread yao?? Acheni wenye akili timamu wajadili mambo. Huo mjadala ulifungwa kibabe ndo maana sasa unataka kuibuka. Swali ni Je, ccm mpo tiyari kufukua makaburi?? Kule unyamwezini tuna kamsemo; Let sleeping dogs lie. Usimwamshe mbwa aliye lala, Nadhani, Mwaki alijisemea tu ila mzaha mzaha, Isihaka akazaliwa. Msijione kuwa salama saana. Mark ma words.
 
Yeye alikuwa waziri wa katiba na sheria.na pia wameanzisha mahakama ya mafisadi.sasa alishindwaje kupeleka ushahidi mahakamani.na bado anasema anao ushahidi anashindwaje kupeleka mahakamani.

Lakini yote haya kayaanzisha nani kama sio Joshua Nassari na konyagi yake
 
Sina haja ya maswali mengi! Swali moja tu la msingi, nataka tofauti ya kiubora ya hizi kamati mbili
Kamati ya 2008 ya Mwakyembe (Richmond)na hii ya Nape 2017 ya sakata la uvamizi Wa kituo cha habar.
Kipi kinsaifanya kamati moja kuwa kukubalika na nyingine kukataliwa na Mwakyembe???????
 
Nikuambie kitu!!! Kama unauwezo wa kumfikia Mwakyembe na akawa na muda wa kutoa somo juu ya haki asilia, fanya hivyo. Anajua kila nadharia hata Lisu unayemuamini kafundishwa na huyu.
 
Nikuambie kitu!!! Kama unauwezo wa kumfikia Mwakyembe na akawa na muda wa kutoa somo juu ya haki asilia, fanya hivyo. Anajua kila nadharia hata Lisu unayemuamini kafundishwa na huyu.

Tatizo sio somo! Tatizo ni kuwa Nchi yetu imejaa unafiki na uoga wa kupoteza nafasi zao za uwazir
Kwa hali hii kudanganywa ni rahisi mno
Anajua kilicho mtoa Nape pale ni kufuatilia habari za bashite. Je yeye ni nani hata aendeleze na kile kilichomtoa mwenzie?
Je hakuna mashart ya chini chini ya hiyo nafasi kama onyo kabla ya kupewa hiyo nafasi?
Hapo hakuna cha elimu yake hapo unatakiwa ufuate anachotaka boss.
Je unakumbuka alitoka wizara gani na yaliyo mkuta huko baada ya kutoa tamko na boss wake kulikataa??
Yeye naye ni mtu uoga ulisha mwingia! Anaongozwa na hisia za uoga tu, kuna siku utaamni maneno yangu hatakama sio Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…