M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Feb 24, 2025 #1 Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 24, 2025 #2 Ni Wanachama halali Ndio sababu wako Bungeni 😄
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Feb 24, 2025 #3 Malaria 2 said: Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Click to expand... Una kiherehere sana Kijana!! Upinde hakuna kulala
Malaria 2 said: Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Click to expand... Una kiherehere sana Kijana!! Upinde hakuna kulala
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Feb 24, 2025 Thread starter #4 Kwa hivyo lissu akituzuga? johnthebaptist said: Ni Wanachama halali Ndio sababu wako Bungeni 😄 Click to expand...
Kwa hivyo lissu akituzuga? johnthebaptist said: Ni Wanachama halali Ndio sababu wako Bungeni 😄 Click to expand...
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 24, 2025 #5 Malaria 2 said: Kwa hivyo lissu akituzuga? Click to expand... Alizungumzia wale Waswahili akina Mrs Kitenge🐼
Malaria 2 said: Kwa hivyo lissu akituzuga? Click to expand... Alizungumzia wale Waswahili akina Mrs Kitenge🐼