Swali: Kwa nini sehemu ya kutolea haja kubwa inaitwa tigo?

mij

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
1,993
Reaction score
2,120
Naomba nifahamishwe kwa nini sehemu ya kutolea haja kubwa(kinyesi) inaitwa tigo. Kuna uhusiano gani mpaka ikaitwa tigo?

Wajuzi naomba mnijuze!!!
 
Kwanza ndo nini kwani mafska wakubwa sodoma na gomora jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…