kwanza cna lengo la kuwalazmisha kuvaa hayo magaguro,uchunguz wangu nimeufanya ndani ya miez 3,nimechukua sample ya rika tofauti miaka 18-39,then nime2mia mikoa 7 ya tanzania{dar,arusha,mwanza,moro,mara,iringa na kilimanjaro}.
we baikoko..
Baikoko unajua?unaiweza?
Au jina tu?
nkahc labda madukan cku hz hayapo,lakin kabla cjakonclude hlo jbu ndo nikaamua kuwashriksha na nyie.eeh!uko serious na magagulo! uku-publish hayo matokeo tuwekee link tujionee,big up! unaweza ukatudokeza sababu za wao kutovaa magagulo? ama ulishia kwenye prevalence?
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
Hata ngomani siku hizi vibwaya vimepotea, kumebaki kanga moja ndembe ndembe lepe lepe...
nkahc labda madukan cku hz hayapo,lakin kabla cjakonclude hlo jbu ndo nikaamua kuwashriksha na nyie.
wewe leo si weekend?Unafanya nini hapa bila gaguro?lol
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
Ulikua unawavua sketi wote au ilikuaje?!
Hhahahha.,..we Yutong wengine kaniki tu ndo zinatukaa.du kaka kanga moja sio mchezo unaweza ukapoteza chanel zote kaka, kwa mfano lizzy akikuvalia kanga moja unategemea nini hapo?
Mr Suggestion why me?!Napita tu, hoja yako itajibiwa na lizzy
Kuna mabadiliko ya hali ya hewa sana, Global warming so they have to dress so lightly. teh! Wengine ubishoo mwingi!Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
Ofcoz kuna ukweli ktk haya uliyoyaandika bt umesahau kuwa hata preference za wanawake zimebadilika kwa kiasi kikubwa pia! Hii kwa kiasi kikubwa inachangiwa na huu utandawazi. Tamaduni za kizungu zinahusika pia!Ukweli ni kwamba uhitaji wakeumepungua kwa sababu zifuatazo...1. Kuna sketi/ mazito kama jeans zisizohitaji underskirt.2. Nyepesi nyepesi zina vitambaa vya ziada ndani hivyo hazihitaji underskirt. 3. Uvaaji wa suruale na kaptula umeongezeka kwahiyo wengi hawahitaji underskirt.Na baadhi yetu pamoja na yote hapo juu bado tu hata kamoja just incase...kwahiyo huo utafiti wako uangalie tena kwa jicho la pili.
Tamaduni za kizungu kwani umeambiwa wazungu hawavai?!Usijidanganye.Ofcoz kuna ukweli ktk haya uliyoyaandika bt umesahau kuwa hata preference za wanawake zimebadilika kwa kiasi kikubwa pia! Hii kwa kiasi kikubwa inachangiwa na huu utandawazi. Tamaduni za kizungu zinahusika pia!