LuCKNOVICH
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 104
- 11
Ninavyoelewa NSSF hauwezi kujitoa, na hauipati hiyo hela hata kama kukiacha/kuachishwa kazi ni mpaka ufikie umri wa kustaafu ndipo utaanza kupata malipo kwa mpango details zaidi zipo kwenye website yao.
Ungekuwa unaweza kujitoa ingepoteza maana yote ya NSSF, kwa sababu inategemea mchango wako kuwalipa wastaafu wa sasa na wewe ukistaafu utalipwa na mchango wa vizazi vijavyo (unless mpango mzima u-collapse huko mbeleni :A S-cry: ).

Kang kama haujui ni bora unyamaze tu,ukiacha kazi either kwa kuresign au kustaafu(umri umefika) lazima upewe mpunga wako ndani ya miezi 6,cha msingi ni kupata barua ya kustaafu/termination letter kutoka kwenye kampuni then unaipeleka nssf ndani ya miezi 6 unakula mpunga wako wote!!
Jifunze kusoma! Nimesema ninavyoelewa.
Haya sio maoni utoe jinsi unavyoona wewe,bali ni kutoa jibu sahihi lisilo na shaka,Swali lake jibu ni ndio unaweza kutoa pesa basii haliitaji kuanza kusema unavyoona wewe,jifunze bro au umesahau maswali ya history? Discuss/Explain/Describe?
The following classes of benefits are payable under this Act, namely –
a. retirement pension
b. invalidity pension
c. survivors pension
d. funeral grants
e. maternity benefit
f. employment injury benefit; and
g. health insurance benefit
23. Subject to the provisions of this Act retirement pension shall be payable to an insured person who-
(a) has attained pensionable age; and
(b) in respect of when not less than 180 monthly
contributions have been paid.
Kunautaratibu unaotumika ili kuchukuwa fedha zako,hao wanaolazimisha mawazo yao yawe fainal hawana uhakika wa wanachokiandika.Mtu ukiwa unakwenda masomoni unapeleka admission form pamoja na barua yakuacha kazi ndani ya mwezi utakuwa umeipata,kwa kuacha au kufukuzwa kazi utaratibu wa miezi 6 unatumika kama mdau mmoja hapa alivyoeleza.Jamani masuala ya msingi usiingize mtazamo au fununu bali uhakika ni muhimu mimi ninawatu kibao ninao wafahamu kwa utaratibu huu wamepata chao nawala si kwa rushwa.
Unajua haya mambo yenu ya oohh rafiki yangu kafanya hivi ohh huyu kafanya vile ndo yanawaponza!
Narudia tena hauwezi kupta hela yako kabla ya kufikia unri wa kustaafu!! kuna exceptions chache kama ajali kazini au ulemavu.
Nenda Overview kadownload sheria iliyounda NSSF.
najua Watanzania hawana mazoea ya kusoma ngoja kikuwekee vipande muhimu
Hizo ndo category za benefits wanazolipa, hakuna "Nimeacha kazi, nataka changu!" Pia angalia
Kwa kifupi hauwezi kulipwa UNLESS umefikia umri wa kustaafu!
Haya ni mambo ya common sense jamani, kama kila mtu anaweza kutoa hela yake wakati wowote anapojisikia Social Security itafanyaje kazi??

Edit: Wewe ndo hujui, soma sheria nimeiweka chini, PYUMBAVVVV...
Unaweza kabisa kuchukua mafao yako ya NSSF hata kama hujaacha kazi, cha msingi tu kama sehemu unayofanyia kazi wafanyakazi wapo NSSF na wengine PPF wewe omba kubadilisha mfuko wa hifadhi kutoka NSSF kwenda PPF ukishafanya hivo hela zako za NSSF unachukua bila tatizo sisi hapa kazini ndo mtindo unaotumika hapa kazini though sijafahamu kama unapewa hela yako kabla ya miezi sita au baada ya miezi sita lakni uwezekano wa kuchukua ela yako kabla ya kustaafu, kuresign au kuachishwa kazi upo ndugu yangu